UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO
Chama kimeandaa na kuidhinisha Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2026/27 hadi 2030/31) utakaoongoza shughuli na maendeleo ya Chama, ukiwa na vipaumbele tisa vitakavyotekelezwa kwa manufaa ya Wanachama na wakulima.