CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA LINDI MWAMBAO LTD

MAONI YAKO YANATUSAIDIA KUBORESHA HUDUMA ZETU.
Bei za Mazao
KOROSHO Bei ya Juu 2500 Bei ya Chini 1900 TZS/kg
MBAAZI Bei ya Juu 1500 Bei ya Chini 1000 TZS/kg
UFUTA Bei ya Juu 3500 Bei ya Chini 2500 TZS/kg
Uongozi wa Juu
Ismail M. Nalinga
Ismail M. Nalinga
Mwenyekiti
Nurdin S. Swallah
Nurdin S. Swallah
Meneja Mkuu
Maoni Yako — Picha
Maoni Yako
MAONI YAKO

TUAMBIE UNAVYOFIKIRI

Tunathamini maoni yako. Tujulishe mawazo, mapendekezo au malalamiko yako ili tuboreshe huduma zetu.

Nini Kinatokea Baada ya Kuwasilisha?

  • Maoni yako yanapokelewa na timu yetu ya mawasiliano.
  • Tunapitia kila maoni kwa makini ndani ya siku chache.
  • Mapendekezo yanayofaa yanaingizwa kwenye mipango ya baadaye ya Lindi Mwambao.

Maoni Kutoka kwa Wanajamii

"Tafadhali wekeni pia namba za simu za maafisa ushirika wa kata ili tuwasiliane nao moja kwa moja pale tunapohitaji msaada."

"Kupakua Mpango Mkakati wa LMCU kupitia ukurasa wa Machapisho kumekuwa rahisi sana, hatuhitaji tena kufika ofisini." — Mkulima - Kata ya Mtama

"Ningeomba muongeze pia bei za mazao mengine kama karanga na mbaazi kwa maeneo mengine ya Wilaya ya Lindi Vijijini."

"Nashukuru kwa taarifa za bei za korosho na ufuta zinazoonekana kwenye tovuti, zinatusaidia sisi wakulima kujua bei kabla ya kuuza mazao." — Mwanachama wa LMCU