Crop Prices
CASHEW High Price 3290 Low Price 3030 TZS/kg

Contact Us

Mawasiliano

Fill in the form below, or use the contact details in the footer to reach us directly.

Mahali:

Lindi, Tanzania

Email:

info@lindimwambaoltd.co.tz

Tel / WhatsApp:

+255 685 543 131

MAONI

Maoni Kutoka kwa Wanajamii na Wanachama Wetu

“Tafadhali wekeni pia namba za simu za maafisa ushirika wa kata ili tuwasiliane nao moja kwa moja pale tunapohitaji msaada.”

Mwanajamii

“Kupakua Mpango Mkakati wa LMCU kupitia ukurasa wa Machapisho kumekuwa rahisi sana, hatuhitaji tena kufika ofisini.”

Mkulima - Kata ya Mtama

“Ningeomba muongeze pia bei za mazao mengine kama karanga na mbaazi kwa maeneo mengine ya Wilaya ya Lindi Vijijini.”

Mwanajamii

“Nashukuru kwa taarifa za bei za korosho na ufuta zinazoonekana kwenye tovuti, zinatusaidia sisi wakulima kujua bei kabla ya kuuza mazao.”

Mwanachama wa LMCU